MAMBO YA KI-STONE Wengi wetu wanafaulu vizuri sana Darasani lakini wakiwa makazini ni watendaji wa ovyo oyo tu yaani hawana jipya.Binafsi hawa nimekutana nao wengi tu kiasi nawasikitikitia sana.Maranyingi najiuliza je ni ubovo wa elimu yetu au ni vilaza tu? Rafiki yangu ana diploma ya I.C.T kasoma pale UCC anachojua yeye ni adobe photoshop tu.Hajui process za windows installation,na vingine vingi lakini kwa notes aisee yuko vizuri sana. Nachotaka kushare nanyi ni kuhusu elimu ya computer ya mtaani.Nikisema ufundi hata wale wapiga "windows"siku hizi wamekuwa na ofisi wanasema IT technicians yap wanafanya vizuri tu si vifaa vyenu vinapona pale wanapootea?Uzuri wa computer sofware haidanganyi eti uegeshee tu kwa kubambika NOOOOO! kama unajua unajua tu. Unaweza kuwa na Diploma ya Darasani na masters ya Kitaani kama utazingatia yafuatayo. 1.Kuwa mdadisi na anayependa kujifunza kila siku Computer hubadilika kila uchwao kisoftware ingawa ...