MACK MMASI (computer engeniering (facebook group)) anauliza: nina computer yangu mpya toshiba lakini ipo slow na mara kadhaa huwa ina stack naombeni msaada.
amepewamajibu mengi lakini yote si ya kitaalamu zaidi na sishangai akishindwa kusolve tatizo lake. maana wengine wametoa mtizamo wa kisoftware zaidi bila kuangalia hardware au vyote kwa pamoja.Wamemwambia aweke windows mpya wakadiriki kusema 7 is the best.Wengine wakamshauri atumie utilities yeyote kama optimizer au tune up.Bwana mack kitaalamu Fuata yafuatayo
1.Tambua kwanza specification za mashine yako yaani; ukubwa wa processor,Ram,na Disk.kwa sababu
kuna baadhi ya windows zinataka ukubwa fulani wa Ram na Processor ili ziwe na ufanisi mkubwa kwa
mfano Vista,7,Ubuntu na 8 hizi processor lazima iwe 1ghz na kuendelea, Ram 512mb na kuendelea
2.Tambua mashine yako inasapoti aina gani ya windows mara nyingi huandikwa Designed for..... may be
Windows xp.Vista au Seven.Kuna baadhi ya mashine hazisapoti ain aya windows mfano pentium 111
kushuka chini haziingizi windows 8na ukiweka 7 huwa too slow na hata ukiweka Xp mpya ambazo ni
upgraded hawa slow.
3.Kama yote hayo juu hayajatatua tatizo lako tatizo huwa kwenye hardware (a) Tatizo laweza kuwa hard
drive. but why,disk kama humaliza mzunguko wake kwa taabu huleta tatizo hilo la ku stack kuwa slow
na mara nyingine unapokopi kitu toka disk hiyo.Badili disk au itazame kwenye mashine nyingine (b)Ram
iwapo mashine yako ina slots za ram zaidi ya mbili na zote zina ram, mojawapo ikifeli mashine huleta tatizo
hilo toa ram moja washa mashine kama bado jaribu kubadili.(c)Processor,inaweza kuwa nzima lakini tatizo
haipoozwi vizuri feni haiendi vizuri,mashine huwa ya moto sana inapotumika.Badili feni pamoja na Heatsink
au tumia feni sahihi ya nje.
Kwa maelezo hayo ndugu yangu lazima ufaulu kusolve tatizo lako kwa Msaada Zaidi kuongea nami direct piga simu 0656 811 379au 0759 812 081 napatikana Singida mjini Eneo la Gineri nyuma ya Mnara wa Tigo Pia nina Mobile ofisi ninazunguka mikoa mbalimbali kwa ufundi na lecture kwa wale wanaotaka kuwa mafundi wazuri wa computer.
amepewamajibu mengi lakini yote si ya kitaalamu zaidi na sishangai akishindwa kusolve tatizo lake. maana wengine wametoa mtizamo wa kisoftware zaidi bila kuangalia hardware au vyote kwa pamoja.Wamemwambia aweke windows mpya wakadiriki kusema 7 is the best.Wengine wakamshauri atumie utilities yeyote kama optimizer au tune up.Bwana mack kitaalamu Fuata yafuatayo
1.Tambua kwanza specification za mashine yako yaani; ukubwa wa processor,Ram,na Disk.kwa sababu
kuna baadhi ya windows zinataka ukubwa fulani wa Ram na Processor ili ziwe na ufanisi mkubwa kwamfano Vista,7,Ubuntu na 8 hizi processor lazima iwe 1ghz na kuendelea, Ram 512mb na kuendelea
2.Tambua mashine yako inasapoti aina gani ya windows mara nyingi huandikwa Designed for..... may be
Windows xp.Vista au Seven.Kuna baadhi ya mashine hazisapoti ain aya windows mfano pentium 111
kushuka chini haziingizi windows 8na ukiweka 7 huwa too slow na hata ukiweka Xp mpya ambazo ni
upgraded hawa slow.
3.Kama yote hayo juu hayajatatua tatizo lako tatizo huwa kwenye hardware (a) Tatizo laweza kuwa hard
drive. but why,disk kama humaliza mzunguko wake kwa taabu huleta tatizo hilo la ku stack kuwa slow
na mara nyingine unapokopi kitu toka disk hiyo.Badili disk au itazame kwenye mashine nyingine (b)Ramiwapo mashine yako ina slots za ram zaidi ya mbili na zote zina ram, mojawapo ikifeli mashine huleta tatizo
hilo toa ram moja washa mashine kama bado jaribu kubadili.(c)Processor,inaweza kuwa nzima lakini tatizo
haipoozwi vizuri feni haiendi vizuri,mashine huwa ya moto sana inapotumika.Badili feni pamoja na Heatsink
au tumia feni sahihi ya nje.
Kwa maelezo hayo ndugu yangu lazima ufaulu kusolve tatizo lako kwa Msaada Zaidi kuongea nami direct piga simu 0656 811 379au 0759 812 081 napatikana Singida mjini Eneo la Gineri nyuma ya Mnara wa Tigo Pia nina Mobile ofisi ninazunguka mikoa mbalimbali kwa ufundi na lecture kwa wale wanaotaka kuwa mafundi wazuri wa computer.
Comments
Post a Comment
solate forever