Trick mbali mbali za simu Wengi hukumbwa namatatizo katika simu zao ambayo kama yakiachwa basi huaribu mfumo mzima wa simu na kusababisha kukosa mawasiliano ambayo kw adunia ya leo tunayahitaji sana ili tuendelee,Mfano simu kuwa nzito,Kusahau msimbo wa usalama wako,(password,Patern).ili kuyamaliza matatizo haya hapa nakuletea trick mbalimbali za kupambana na matatizo haya KUWASHA SIMU ILIYOZIMA Kwa tatizo lolote ambalo simu yako ya androids haiwaki, kuna hatua nyingi za kufuata ili kutatua tatizo hili hapa nitakueleza kwa undani zaidi kukabiliana na tatizo hili. __yawezekana simu yako imezima kutokana na betri yako kuisha chaji kabisa,Hapo chaji simu yako kisha iwashe baada ya dakika thelathini kisha ijalibu __Kama bado haiwaki toa betri yako na jaribu betri nyingine inayofanana na betri yako,jaribu kuiwasha simu yako,ikiwa bado hili tatizo lipo __Kama bado haiwaki na hiyo simu ilizima yenyewe bila matatizo mengine kam...
Posts
Chakachua moderm yako korofi ya ZTE itumie line zote daima kwa QPST
- Get link
- X
- Other Apps
2. Plug your modem into computer or laptop and after that Go to Start button then go to Programs menu then go to QPST and start QPST Configuration” and select the “Ports” tab. 3. Now click on “Add New Port” button. 4. Find the port labeled “USB/QC Diagnostic” and select it then click “OK”. ( Note : If there are more than one “USB/QC Diagnostic” port showing, you must select the correct one by trying each one. If you get the wrong one the “Modem selection” in step 7 won’t show the “Unknown” phone but will be empty.) 5. Go to the menu and Select “Start Clients” and click on “EFS EXPLORER” 6. In the following dialog you should see an “Unknown” phone, which you select and then confirm with “OK”. 7. Now QPST will read the EFS file system of your device: 8. After reading QPST will show up some files. Now you must take back up the existing content of the modem, which is saved as a “ ZTEMODEM.ISO “. Select the “ZTEMODEM.ISO” right click on it and select “...
Jifunze Java kidogo kwa wale wanaoanza
- Get link
- X
- Other Apps
Since their invention in the 1950s, computers have revolutionized our daily lives! Calculating a route from a website or a GPS, booking a train or plane ticket, or seeing and chatting with friends on the other side of the world: all these actions are possible thanks to computers. Let's take the term "computer" in its broadest sense, meaning a machine that can perform arithmetic and logical operations. It could mean either a desktop or laptop computer (PC, Mac), a computing server, or a mobile device like a tablet or smartphone. Nonetheless, a computer can only perform a series of simple operations when instructed to do so. They normally have no ability to learn, judge, or improvise. They simple do what they're told to do! Their value comes from how they can quickly handle and process huge amounts of information. A computer often requires human intervention. That's where programmers and developers come in! They write programs that resul...