Posts

Showing posts from July, 2014
Image
Jumaiman@gmail.com : Dr.Xander,habari mkuu ?samahani kaka nina Flash disk yangu gb 16 haingizi data                    wala haitoi nikijaribu kuifomati inaniandikia write protected nimekwama bro nisaidie. Dr.Xander : Niko poa J hujasema uko wapi.Ok sio kesi,Wengi husumbuliwa na tatizo hili pasi na                      ufumbuzi,Juma angalia hiyo flash yako ubavuni mwaka kama kuna "buton" kama ipo jaribu                    kuisogeza juu chini chomoa na chomeka tena.Kama bado au haina Button ubavuni tafadhali                    fuata hatua zifuatazo 1.Zima computer yako au laptop 2.Chomeka flash yako katika computer au Laptop 3.Washa computer yako au lapto...