Posts

Showing posts from October, 2014
Image
MAMBO YA KI-STONE Wengi wetu wanafaulu vizuri sana Darasani lakini wakiwa makazini ni watendaji wa ovyo oyo tu yaani hawana jipya.Binafsi hawa nimekutana nao wengi tu kiasi nawasikitikitia sana.Maranyingi najiuliza je ni ubovo wa elimu yetu au ni vilaza tu? Rafiki yangu ana diploma ya I.C.T kasoma pale UCC anachojua yeye ni adobe photoshop tu.Hajui process za windows installation,na vingine vingi lakini kwa notes aisee yuko vizuri sana.          Nachotaka kushare nanyi ni kuhusu elimu ya computer ya mtaani.Nikisema ufundi hata wale wapiga "windows"siku hizi wamekuwa na ofisi wanasema IT technicians yap wanafanya vizuri tu si vifaa vyenu vinapona pale wanapootea?Uzuri wa computer sofware haidanganyi eti uegeshee tu kwa kubambika NOOOOO! kama unajua unajua tu. Unaweza kuwa na Diploma ya Darasani  na masters ya Kitaani kama utazingatia yafuatayo. 1.Kuwa mdadisi na anayependa kujifunza kila siku Computer hubadilika kila uchwao kisoftware ingawa ...
Image
MACK MMASI (computer engeniering (facebook group)) anauliza: nina computer yangu mpya toshiba lakini ipo slow na mara kadhaa huwa ina stack naombeni msaada.       amepewamajibu mengi lakini yote si ya kitaalamu zaidi na sishangai akishindwa kusolve tatizo lake. maana wengine wametoa mtizamo wa kisoftware zaidi bila kuangalia hardware au vyote kwa pamoja.Wamemwambia aweke windows mpya wakadiriki kusema 7 is the best.Wengine wakamshauri atumie utilities yeyote kama optimizer au tune up.Bwana mack kitaalamu Fuata yafuatayo 1.Tambua kwanza specification za mashine yako yaani; ukubwa wa processor,Ram,na Disk.kwa sababu     kuna baadhi ya windows zinataka ukubwa fulani wa Ram na Processor ili ziwe na ufanisi mkubwa kwa     mfano Vista,7,Ubuntu na 8 hizi processor lazima iwe 1ghz na kuendelea, Ram 512mb na kuendelea 2.Tambua mashine yako inasapoti aina gani ya windows mara nyingi huandikwa Designed for..... may be    Windo...
Image
COMPUTING & INFORMATION TECHNOLOGY 1.1               Elements of a preventive maintenance program The main goal of any preventive maintenance program is to protect a system from future problems. There are three questions that need to be addressed when developing a preventive maintenance program: ·          When is the best time to prevent potential problems? A schedule should be created for specific tasks to be completed at certain times of the day, week, and month. ·          Why is this maintenance necessary? Every time a maintenance task is performed on a computer system, it should be noted in a preventive maintenance log. Each entry should list the date, time, name of the technician, and the computer system on which the maintenance was done. ·          How will the system be main...
Image
Kwa wale wenzangu na mimi ambao Computer science ni sehemu ya maisha yao,I.C.T tunaidadavua hapa usiogope,usikate tamaa hapa hakuna mashine inayokufa,Natoa ushauri na maelekezo hewani wasiliana nami kama una tatizo lolote la computer nakupa maelezo ya kweli na fasaha,Pia full software wasiliana nami kwa mail,namba ya simu,au blog hii.Nipo hewani masaa 24 nitafute kikusaidie kiuhakika kwa tatizo lako ambalo unaliona kuwa sugu.hapo.Pia pata taarifa mpya na ingizo za teknolojia mpya katika nyanja za software na Hardware.hapa ni computer toleo jipya na aina mpya ya software,Maswali yote yatajibiwa.