Posts

Showing posts from April, 2013
Image
Swali toka kwa                        Dr.Lugakingira wa Bunju:              Natumia Dell Latitude 610,Nime"install" camera (webcam) kwenye mashine yangu Process za kuinstall zinaenda vizuri lakini wakati wa kuitumia ina andika your computer has no video hardware Naomba msaada hapo nimekwama nahitaji kutumia webcam ya nje natumia windows 7   Jibu la Technician:                Nashukuru kwa swali lako dokta,kiasili dell latitude haina web cam ndio maana unatumia extenal webcam.Hardware inayouliziwa hapo ni hiyo camera{webcam}.Zingatia yafuatayo ili uweze kuitumia (1)Mara nyingi Vifaa kama hivyo huja na cd(software yake).Hakikisha una hiyo cd,na kilichopo humo       ni software ya hiyo camera halisi kama huna sofware...
Image
JINSI YA KUTATUA TATIZO LA LAPTOP ISIYOWAKA       Kama laptop yako haiwaki, inaweza kuwa na matatizo mengi ambayo lazima yapatiwe ufumbuzi yakinifu na mtaalamu aliyebobea.Tatizo laweza kuwa umeme ambao mashine inaupokea kutoka kwenye betri au chaja.Vilevile inaweze kuwa ni kufeli kwa umeme unaoingia na au kutofanya kazi kwa moja ya kifaa vilivyomo ndani.Pia inaweza kuwa tatizo la mwanga kwenye kioo (LCD) ulivyosetiwa laptop nyingine huonekana zimezimwa.Matatizo haya yanatakiwa kurekebishwa.                                          UTATUZI WENYEWE          1.Angalia ishara ya betri kwenye mashine yako inawaka? Kama inawaka angalia kuseti kwa mwanga kwenye kioo.Kama bado haiwaki inaweza kuwa mwanga umesetiwa kwa kiwango ncha chini mno.Laptop yako itaonekana kiza sana na kama imezimwa ata kama sivyo jaribu kuonge...