JINSI YA KUTATUA TATIZO LA LAPTOP ISIYOWAKA
      Kama laptop yako haiwaki, inaweza kuwa na matatizo mengi ambayo lazima yapatiwe ufumbuzi yakinifu na mtaalamu aliyebobea.Tatizo laweza kuwa umeme ambao mashine inaupokea kutoka kwenye betri au chaja.Vilevile inaweze kuwa ni kufeli kwa umeme unaoingia na au kutofanya kazi kwa moja ya kifaa vilivyomo ndani.Pia inaweza kuwa tatizo la mwanga kwenye kioo (LCD) ulivyosetiwa laptop nyingine huonekana zimezimwa.Matatizo haya yanatakiwa kurekebishwa.

                                         UTATUZI WENYEWE
         1.Angalia ishara ya betri kwenye mashine yako inawaka? Kama inawaka angalia kuseti kwa mwanga kwenye kioo.Kama bado haiwaki inaweza kuwa mwanga umesetiwa kwa kiwango ncha chini mno.Laptop yako itaonekana kiza sana na kama imezimwa ata kama sivyo jaribu kuongeza mwanga kwenye laptop.

          2.Jaribu kuangalia chaja adapta yako kama imechomekwa sawia kwenye umeme na kwenye laptop.Hakikisha swichi imewashwa Jaribu swichi nyingine vilevile jaribu adapta yako kwenye laptop nyingine inayowaka.Kama tatizo ni adapta chaja ibadili.
          
          3.Angalia betri yako ukizingatia umekuwa nayo kwa kipindi gani,Betri nyingi za mashine za kisasa huanza kuharibika kama zimechajiwa full mara 1000.Badili betri ya laptop yako

                                     Itaendelea....................


Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Java kidogo kwa wale wanaoanza

Chakachua moderm yako korofi ya ZTE itumie line zote daima kwa QPST