Naam Ndio katika teleo lilopita niliwaeleza kuhusu jinsi ya kurekebisha laptop iliyozima jap kwa kfupi,Hebu tuangalie leo jinsi ya ku deal na Pasword katika Machine.Password yaweza kuwa kwenye Bios au kwenye Windows.Utoaji wake hutofautiana kulingana na aina ya tatizo. Chamsingi ni kujua aina ya machine na password kama ipo kwenye windows au kwenye bios kila machine inautaratibu wake wa kuondoa bios password au Pasword ya kawaida