Jumaiman@gmail.com: Dr.Xander,habari mkuu ?samahani kaka nina Flash disk yangu gb 16 haingizi data
wala haitoi nikijaribu kuifomati inaniandikia write protected nimekwama bro nisaidie.
Dr.Xander: Niko poa J hujasema uko wapi.Ok sio kesi,Wengi husumbuliwa na tatizo hili pasi na
ufumbuzi,Juma angalia hiyo flash yako ubavuni mwaka kama kuna "buton" kama ipo jaribu
kuisogeza juu chini chomoa na chomeka tena.Kama bado au haina Button ubavuni tafadhali
fuata hatua zifuatazo
1.Zima computer yako au laptop
2.Chomeka flash yako katika computer au Laptop
3.Washa computer yako au laptop kisha haraka bonyeza F8 na computer yako itawaka kwenye "advanced
Boot options"
4.Chagua "safe mode with command prompt
5.Ikisha onyesha "Files" kama flash yako alama yake ni "F" kwa mfano,sasa andika
6.C:/windows/system32>G: na Bonyeza Enter
7.G:/>format G:bonyeza Enter
8.Ukiulizwa (Y/N)bonyeza Y kisha Bonyeza Enter
9:Sasa flash yote itafomatiwa na kuondoa kabisa write protection.
ZINGATIA
Hakikisha unatoa vizuri flash yako kwenye komputa kwa kubonyeza kulia halafu eject au Safe remove.
Endapo utahitaji msaada zaidi nicheki kwa 0759 812081 au 0656 811379 au kwa mail juu ya page hii
wala haitoi nikijaribu kuifomati inaniandikia write protected nimekwama bro nisaidie.Dr.Xander: Niko poa J hujasema uko wapi.Ok sio kesi,Wengi husumbuliwa na tatizo hili pasi na
ufumbuzi,Juma angalia hiyo flash yako ubavuni mwaka kama kuna "buton" kama ipo jaribu
kuisogeza juu chini chomoa na chomeka tena.Kama bado au haina Button ubavuni tafadhali
fuata hatua zifuatazo
1.Zima computer yako au laptop
2.Chomeka flash yako katika computer au Laptop
3.Washa computer yako au laptop kisha haraka bonyeza F8 na computer yako itawaka kwenye "advancedBoot options"
4.Chagua "safe mode with command prompt
5.Ikisha onyesha "Files" kama flash yako alama yake ni "F" kwa mfano,sasa andika
6.C:/windows/system32>G: na Bonyeza Enter
7.G:/>format G:bonyeza Enter
8.Ukiulizwa (Y/N)bonyeza Y kisha Bonyeza Enter
9:Sasa flash yote itafomatiwa na kuondoa kabisa write protection.
ZINGATIA
Hakikisha unatoa vizuri flash yako kwenye komputa kwa kubonyeza kulia halafu eject au Safe remove.
Endapo utahitaji msaada zaidi nicheki kwa 0759 812081 au 0656 811379 au kwa mail juu ya page hii
Comments
Post a Comment
solate forever